Sunday, 24 August 2014

CHEZEEA SEBENE LA ALLY KIBA

Mdau mmoja wa muziki wa bongo kwa jina hakujulikani alijikuta akiwa hoiii kwa kukatikiwa mauno na mwanadada katika moja ya club kubwa na maarufu jijini dar,kidume huyo alijikuta akiwekwa mtu kati na mwanadada, huku mwanadada   akiwa mapaja wazi na kuendelea kumtamanisha kidume huyo akibaki mdomo wazi kwa uchu na kungangana  tuu mpaka sebene la ali kiba dushelele na mwana kuishia hapo.

No comments:

Post a Comment